Baada ya basi lililokuwa linawasafirisha wafungwa kupata ajali kwenye msitu wa West Virginia, wafungwa hao pamoja na askari wa magereza wanajikuta wakipambana kuokoa maisha yao. Hata hivyo, kuna muuaji wa kutisha mwenye asili ya cannibal anayewawinda mmoja baada ya mwingine msituni. Filamu imejaa mauaji ya kikatili, damu nyingi na matukio ya kushtua.
DJ Original
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!