Vinaya Vidheya Rama inamfuata Rama, kijana aliyelelewa na kaka zake kwa upendo mkubwa. Ni mtu mwenye heshima, nguvu, na moyo wa kulinda familia yake kwa gharama yoyote.
Wakati kaka yake anaingia kwenye siasa na kukumbana na adui hatari wa kimataifa, Rama analazimika kutumia nguvu na ujasiri wake kupambana na mtandao wa uhalifu ili kulinda familia yake. Story inachanganya mapenzi ya kifamilia, siasa, na action kali
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!