Twisted ni movie ya horror-thriller yenye story ya ujanja (con game) inayogeuka kuwa ndoto mbaya ya kutisha.
Story inafuatilia wanawake wawili vijana (millennials) wanaoishi New York ambao wanajipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Wanajifanya mawakala wa nyumba na kuwauzia watu apartments ambazo si zaoβmpango wao unafanikiwa sana kwa muda, wakiwatapeli watu wengi bila kushukiwa.
Lakini mambo yanabadilika kabisa wanapokutana na mmiliki mmoja wa nyumba ambaye si wa kawaida. Badala ya kuwa mwathirika, huyu mtu ana siri ya giza na akili ya hatari zaidi kuliko yao.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!