Mwanamke mmoja anakubali kazi ya kuwa housekeeper ndani ya jengo kubwa la kifahari mjini New York City bila kujua kuwa jengo hilo lina historia ya watu kutoweka mysteriously. Kadri siku zinavyopita, anagundua kuwa wakazi wa jengo hilo wamefichwa ndani ya siri ya kutisha inayohusisha cult hatari na mauaji ya kikatili.
Akiwa trapped ndani ya mchezo wa kuishi au kufa, analazimika kutumia akili, nguvu na ujasiri kupambana na kundi hilo kabla hajawa mwathirika mwingine. Filamu hii inachanganya horror ya damu, action kali na dark comedy yenye suspense kubwa mpaka mwisho.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!