The Running Man ni filamu ya baadaye (future) inayomfuata askari Ben Richards anayelazimishwa kushiriki kwenye show ya televisheni hatari ambapo washiriki wanawindwa na wauaji ili kuishi.
Akiwa anakimbia kuokoa maisha yake, anajaribu kufichua ukweli kuhusu mfumo wa udikteta unaotumia show hiyo kudhibiti watu.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!