The Rip ni movie ya crime thriller inayohusu kikosi cha polisi wa Miami (narcotics unit) kinachokumbana na tukio kubwa linalobadilisha kila kitu ndani ya timu yao.
Story inaanza wakati maafisa wa polisi wanapogundua stash house kubwa ya pesa taslimu iliyotokana na biashara ya dawa za kulevya. Badala ya kuwa ushindi wa kawaida wa kazi, tukio hilo linakuwa chanzo cha mashaka, tamaa na mgawanyiko ndani ya kikosi chao.
Kadri wanavyojaribu kuamua nini kifanyike na pesa hizo, uaminifu kati yao unaanza kuvunjika:
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!