The Protector (2025) ni movie ya action sci-fi inayofanyika katika dunia iliyoharibiwa na ukame, vita, na upungufu wa maji. Katika mazingira hayo ya hatari, chanzo cha mwisho cha maji safi kinakuwa kitu cha kupiganiwa.
Hadithi inamfuata mwanamke aliyefungwa gerezani, anayepata nafasi ya uhuru kwa kufanya kazi hatariβkulinda mtoto maalum ambaye anaweza kuwa ufunguo wa kuokoa chanzo hicho cha maji. Lakini safari hiyo si rahisi: wanawindwa na watu wenye nguvu, vikundi vya wahalifu, na nguvu za giza zinazotaka kudhibiti rasilimali hiyo muhimu.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!