The Platform 2 ni mwendelezo wa movie The Platform unaorudi kwenye gereza la ajabu lenye ngazi nyingi ambapo chakula hushuka kutoka juu kwenda chini kupitia jukwaa (platform).
Katika sehemu hii, wahusika wapya wanaingia kwenye mfumo huo wa kutisha na kukutana na sheria mpya, migogoro ya makundi, na mapambano makali ya kuishi. Kadri wanavyojaribu kuelewa mfumo huo, wanaanza kugundua siri nyingine kuhusu gereza hilo na watu wanaoliongoza.
Movie inaendelea kubeba ujumbe kuhusu ubinafsi, usawa wa jamii, na mapambano ya kuishi, huku ikiwa na mazingira ya kutisha na twists nyingi.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!