The Jurassic Games: Extinction ni muendelezo wa filamu ya survival ambapo washiriki wanawekwa kwenye mchezo wa hatari unaohusisha dinosaurs waliotengenezwa kwa teknolojia.
Safari hii, mchezo unakuwa hatari zaidi na hakuna sheriaβwashiriki wanapaswa kupigana na viumbe wakali na pia wao kwa wao ili kuishi.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!