The Hills Have Eyes ni movie ya horror-survival inayohusu familia ya Carter ambao wanakuwa safarini kupitia jangwa la Nevada nchini Marekani.
Baada ya gari lao kuharibika katikati ya jangwa, wanajikuta wamenaswa kwenye eneo la mbali lisilo na msaada. Hapo wanagundua kuwa hawako peke yaoβkuna kundi la watu waliobadilika kutokana na athari za majaribio ya nyuklia na wanaishi milimani.
Familia hiyo inalazimika kupambana kwa nguvu zote ili kuishi na kuwalinda wapendwa wao dhidi ya hatari hiyo. Kadri muda unavyopita, mapambano ya kuishi yanakuwa makali zaidi.
Ni movie ya survival horror, suspense, na hofu ya kutengwa katika mazingira hatari.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!