The Crow (2024) ni reboot ya movie ya classic ya The Crow. Inamfuata Eric Draven, mwanaume anayeuawa pamoja na mpenzi wake kikatili na kisha kurejea kutoka ulimwengu wa wafu akiwa na nguvu za kisasi.
Akiwa na uwezo wa kurudi duniani akiwa βCrowβ, Eric anaanza kuwawinda watu waliowaua yeye na mpenzi wake mmoja baada ya mwingine.
Kadri anavyoendelea na kisasi chake, anakumbana na dunia ya giza, uchungu wa upendo uliopotea, na mapambano kati ya uhai na kifo.
Ni movie ya revenge, supernatural powers, na dark fantasy yenye mood ya giza na action kali.
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!