The Black Demon ni filamu inayohusu familia inayokwenda kwenye eneo la mafuta lililo karibu na bahari ya Mexico.
Wakiwa huko, wanakutana na shark mkubwa wa kutisha anayejulikana kama βThe Black Demonβ ambaye anaaminika kuwa kiumbe wa kale wa baharini. π¦π₯
Familia hiyo inalazimika kupambana kuokoa maisha yao huku wakizuiwa katikati ya bahari bila msaada wa karibu.
DJ Original
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!