The Bad Guys 2 ni muendelezo wa story ya genge la wanyama walioanza kama majambazi wakubwa lakini wakabadilika na kuwa watu wazuri.
Katika sehemu hii, genge hilo linajaribu kuishi maisha ya uadilifu, lakini linajikuta likivutwa tena kwenye kazi hatari inayohusisha wizi mkubwa na adui mpya mwenye akili zaidi.
Kadri story inavyoendelea, wanagundua kuwa kuwa βwazuriβ si rahisi kama walivyofikiria, na lazima washirikiane tena ili kuokoa hali.
DJ Mack
DJ Original
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!