Rosario Tijeras inasimulia maisha ya msichana aitwaye Rosario, aliyekulia kwenye mazingira magumu ya umaskini na uhalifu. Anakua mwanamke mwenye mvuto lakini hatari, akijihusisha na magenge ya kihalifu, mapenzi tata, kisasi, na mapambano ya kuishi katika dunia ya vurugu. Story inaonyesha jinsi mazingira yanavyoweza kumbadilisha mtu.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!