Parallel ni movie ya sci-fi inayohusu kundi la marafiki wanaopata kifaa cha ajabu ndani ya nyumba ya zamani cha kufanya βportalβ kwenda universes tofauti (parallel realities).
Mwanzoni wanafurahia kutumia milango hiyo kuona maisha tofautiβkila dunia ina matokeo tofauti ya maamuzi yao. Lakini kadri wanavyozidi kutumia kifaa hicho, wanaanza kugundua kuwa kila dunia ina gharama yake na matokeo hatari.
Polepole, urafiki wao unavunjika, tamaa inazidi, na safari ya dunia mbadala inakuwa hatari sana kuliko walivyodhani.
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!