Loading...
Night of the Reaper
Night of the Reaper

Night of the Reaper

4.5
2026
untranslated
2h 15m
Swahili Dub

Night of the Reaper ni movie ya horror ya aina ya slasher inayohusu kundi la vijana wanaojikuta wakiwa wamekwama kwenye eneo moja la mbali wakati wa usiku wa kutisha.
Kila kitu kinaanza kawaida, lakini baadaye kunatokea mauaji ya ghafla yanayoonyesha kuwa kuna muuaji wa kutisha (Reaper) anayewinda kila mtu mmoja baada ya mwingine.
Kadri usiku unavyozidi kwenda, wahanga wanagundua kuwa muuaji huyo si wa kawaidaβ€”anaonekana kujua kila hatua yao na anaonekana kuwa na uhusiano wa siri na eneo hilo au watu walioko humo.
Wanaanza kupigania maisha yao huku wakijaribu kugundua ni nani Reaper, kwa nini anawawinda, na jinsi ya kutoroka kabla hawajamalizwa wote.
Ni movie ya giza, mauaji ya moja kwa moja, suspense na survival horror yenye tension kubwa hadi mwisho.

Swahili Dub, SwaMedia Cinema
PLAY

Also You May Like

Night Books

Night Books

2026 4.5
Survivor

Survivor

2026 4.5
Narappa

Narappa

2026 4.5
Alive Is A South Korean Survival Thriller That

Alive Is A South Korean Survival Thriller That

2026 4.5
A Professional Mercenary

A Professional Mercenary

2026 4.5
Tolo Tolo

Tolo Tolo

2026 4.5
Unhuman

Unhuman

2026 4.5
Caught in Time

Caught in Time

2026 4.5
American Insurration

American Insurration

2026 4.5
Forgive Us All

Forgive Us All

2026 4.5
New Generation Of Angels

New Generation Of Angels

2026 4.5
Hijack

Hijack

2026 4.5
Free Guy

Free Guy

2026 4.5
Fantastic Four

Fantastic Four

2026 4.5

Comments (0)

Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?

Ingia (Sign In) Kuweka Maoni

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Home Movies SIZONI 18+ Wakubwa Profile