Mortal Kombat II ni mwendelezo wa movie ya Mortal Kombat (2021). Inatarajiwa kuendelea na vita kati ya Earthrealm na Outworld ambapo mashujaa wapya na wa zamani wanashiriki mashindano ya hatari ya Mortal Kombat.
Story inatarajiwa kuonyesha kuongezeka kwa nguvu ya Shang Tsung na mashambulizi mapya dhidi ya Earthrealm, huku Cole Young na wapiganaji wengine wakijaribu kujifunza uwezo mpya ili kuokoa dunia yao.
Movie hii inajulikana kwa mapigano ya kung fu, nguvu za kichawi, na characters maarufu wa game kama Scorpion, Sub-Zero, Liu Kang, na we
DJ Original
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!