Loading...
MONSTERS
MONSTERS

MONSTERS

4.5
2026
untranslated
2h 15m
Swahili Dub

Monster ni filamu ya kusisimua yenye maudhui mazito ya kijamii inayosimulia maisha ya Steve Harmon kijana mwenye miaka 17 anayeishi Harlem New York. Steve ni mwanafunzi mwerevu na mwenye ndoto za kuwa muongozaji wa filamu, lakini ndoto hizo zinatishia kusambaratika ghafla baada ya kushitakiwa kwa kosa la mauaji ambalo halina ushahidi wa moja kwa moja dhidi yake

Filamu inaonesha mchakato wa kisheria anaopitia Steve, huku jamii na mfumo wa sheria ukimpachika lebo ya monster hata kabla hajahukumiwa. Pamoja na wakili wake Steve anajaribu kupigania haki yake na kuthibitisha kuwa yeye si mhalifu bali ni kijana mwenye malengo makubwa maishani.

Swahili Dub, SwaMedia Cinema

Also You May Like

Death Worm

Death Worm

2026 4.5
Attraction to Paris

Attraction to Paris

2026 4.5
Gadar 2

Gadar 2

2026 4.5
Set In A Remote Space Station, Ash

Set In A Remote Space Station, Ash

2026 4.5
Java Heat

Java Heat

2026 4.5
Smart Shankar

Smart Shankar

2026 4.5
Cannibal Troll

Cannibal Troll

2026 4.5
DON'T BREATH 2

DON'T BREATH 2

2026 4.5
Gulliver  Return

Gulliver Return

2026 4.5
Set In The 18th Century, This Historical Drama

Set In The 18th Century, This Historical Drama

2026 4.5
Operation Laila

Operation Laila

2026 4.5
Rosario Tijeras

Rosario Tijeras

2026 4.5
Battle Of Saipan

Battle Of Saipan

2026 4.5
New Gods: Nezha Rebornni

New Gods: Nezha Rebornni

2026 4.5

Comments (0)

Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?

Ingia (Sign In) Kuweka Maoni

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Home Movies SIZONI 18+ Wakubwa Profile