Momentum ni movie ya action inayomfuata mwanamke mtaalamu wa uhalifu (Olga Kurylenko) ambaye analazimika kurudi kwenye maisha ya hatari baada ya kuhusishwa kwenye wizi mkubwa wa almasi.
Baada ya tukio la wizi kwenda vibaya, anaanza kuwindwa na kundi la wahalifu wenye siri za serikali na mauaji ya kisiasa. Anagundua kuwa si yeye tu anayetafutwaβana taarifa ambazo zinaweza kufichua mtandao mkubwa wa uhalifu.
Kadri anavyokimbia, analazimika kupambana, kutumia akili na ujuzi wake wa zamani ili kuishi na kufichua ukwel
DJ Original
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!