Maximum Conviction ni movie ya action inayowafuata wafanyakazi wawili wa zamani wa kikosi maalum cha siri wanaopewa kazi ya kufunga jela ya zamani na kuhakikisha usalama wa wafungwa wawili hatari.
Lakini ghafla, kundi la askari wasiojulikana linavamia gereza hilo kutafuta wanawake hao wafungwa, na wanaua walinzi wote.
Sasa wanaume hao wawili wanalazimika kupigana dhidi ya kikosi kizima cha maadui ili kulinda jela na kufichua sababu ya shambulio hilo.
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!