Ni movie ya action/thriller inayomhusu Martin Baxter, aliyekuwa agent wa MI6. Baada ya mke wake kuuawa, anaacha kazi ya ujasusi. Lakini anarudi tena kwenye hatari baada ya kuombwa msaada kufichua siri kubwa.
Anajikuta akifuatwa na maadui kutoka nchi mbalimbali huku binti yake akitekwa, na anapaswa kupigana na kukimbizana na muda ili kuokoa maisha yake na kufichua ukweli.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!