Like a Dragon: Yakuza ni movie inayotokana na game maarufu ya Yakuza. Inamfuata Kazuma Kiryu, mwanaume mwenye historia ya uhalifu ambaye anajaribu kuishi maisha ya kawaida lakini anaendelea kuvutwa tena kwenye dunia ya Yakuza.
Kadri story inavyoendelea, Kiryu anajikuta katikati ya vita vya makundi ya uhalifu, usaliti, na mapambano ya kuokoa watu anaowajali.
Analazimika kutumia nguvu zake za kupigana (hand-to-hand combat), ujasiri, na heshima yake ya zamani ya Yakuza ili kuishi katika dunia ya vurugu.
DJ Original
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!