Baada ya tukio la utekaji nyara kuonekana moja kwa moja mtandaoni, polisi mkongwe Frank Penny analazimika kushirikiana na mtangazaji wa mtandaoni ili kumtafuta mhalifu na kumuokoa mwathirika kabla muda haujaisha. Filamu ina mchanganyiko wa uchunguzi wa polisi, action, na mbio dhidi ya muda.
DJ Mack
DJ Original
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!