How to Train Your Dragon ni movie ya animation inayofuata kijana anayeitwa Hiccup, ambaye anaishi kwenye kisiwa cha Vikings kinachopigana na mazimwi (dragons).
Tofauti na jamii yake, Hiccup anagundua kuwa mazimwi si maadui kama wanavyofikiriwa. Anapokutana na dragon mmoja anayeitwa Toothless, anaanza urafiki wa siri naye.
Kadri hadithi inavyoendelea, Hiccup anajaribu kubadilisha mtazamo wa watu wake kuhusu dragons, huku akijifunza ujasiri, urafiki na maana ya kuwa shujaa wa kweli.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!