Baada ya wizi (heist) kwenda vibaya, mwizi mmoja pamoja na kijana mwenye matatizo wanajaribu kumuokoa mshirika wao aliyetekwa na drug lord hatari pamoja na hitman wake. Story ina action nyingi, mapambano na kukimbizana huku wakijaribu kurejesha pesa na kuokoa rafiki yao.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!