Gangster Squad ni movie ya crime inayotokea Los Angeles ya miaka ya 1940โ1950, kipindi ambacho jiji lilikuwa chini ya udhibiti wa magenge hatari.
Story inamfuata kikosi cha siri cha polisi (Gangster Squad) kilichoundwa kuangusha mfalme wa uhalifu Mickey Cohen. Kikosi hicho kinafanya kazi nje ya sheria ili kupambana na ufisadi na uhalifu uliokithiri mjini.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!