Detective Knight: Rogue ni movie ya crime-action inayomfuata Detective James Knight, mpelelezi mkali anayefuatilia kesi ya wizi wa silaha na magaidi waliovamia jiji.
Wakati wa kufuatilia wahalifu, hali inazidi kuwa mbaya baada ya mfungwa hatari kutoroka na kuanza kusababisha vurugu mjini, jambo linalomlazimu Knight kupambana na maamuzi magumu kati ya sheria na uadilifu.
Kadri story inavyoendelea, inageuka kuwa vita ya polisi dhidi ya wahalifu hatari na mfumo wa uhalifu wa jiji
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!