Deadpool & Wolverine ni filamu ya action yenye vichekesho inayomfuata Deadpool anayejikuta kwenye mission hatari inayohusisha ulimwengu tofauti (multiverse).
Ili kufanikisha lengo lake, analazimika kushirikiana na Wolverine, na pamoja wanaingia kwenye mapambano makali yaliyojaa vurugu, utani mwingi na maadui hatari.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!