Creed III ni movie ya boxing inayomfuata Adonis Creed ambaye sasa amekuwa bingwa wa dunia na ana maisha mazuri kama boxer mtaalamu.
Lakini maisha yake yanavurugika rafiki yake wa utotoni, Damian, anapotoka jela na kurudi akiwa na hasira na malengo ya kisasi. Damian alikuwa na ndoto za boxing zilizokatika, na sasa anataka nafasi yake ya kuwa bingwaβhata kama ni kwa njia ya vita.
Kadri pambano linavyozidi kukaribia, inakuwa si tu mchezo wa ndondi, bali pia vita ya historia, urafiki, na maumivu ya zaman
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!