Chaos Walking ni movie ya sci-fi inayofanyika kwenye dunia ya mbali ambapo wanaume wanaishi kwenye sayari yenye siri ya ajabuβwanasikia βNoiseβ, yaani mawazo yao yote yanaonekana na kusikika waziwazi.
Mhusika mkuu, Todd Hewitt, anakutana na msichana wa ajabu anayeitwa Viola ambaye anaingia kwenye dunia hiyo bila βNoiseβ, kitu ambacho ni cha kushangaza sana kwao.
Kadri wanavyozidi kusafiri pamoja, wanagundua siri kubwa kuhusu sayari yao, uongo wa viongozi, na vita vinavyoendelea nyuma ya pazia.
Ni movie ya sci-fi, adventure, na survival yenye world-building ya kipekee.
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!