Brothers Under Fire ni filamu ya kivita inayofuatilia ndugu wawili wanaopigana pamoja vitani.
Wakiwa katikati ya mapigano makali, wanakabiliwa na maamuzi magumu ya kuokoa wenzao, kulinda heshima yao na kuishi dhidi ya maadui wenye nguvu.
๐ฅ Ni movie ya vita + undugu + survival ya kijeshi.
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!