Bride Hard ni movie ya action-comedy inayomfuata bibi harusi ambaye siku yake ya harusi inageuka kuwa janga kubwa wakati kundi la watu wenye silaha wanavamia sherehe.
Mhusika mkuu, ambaye ni bibi harusi mwenye maisha ya kawaida, analazimika kuonyesha ujuzi wa kupambana (kabla ya harusi yake kuharibiwa kabisa) ili kuokoa wageni na watu wake wa karibu.
Kadri hali inavyozidi kuwa mbaya, harusi inageuka kuwa uwanja wa vita ambapo mapambano, vichekesho, na chaos vinachanganyika.
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!