BRICK Inahusu couple (Tim na Olivia) wanaoamka siku moja na kugundua kuwa jengo lao lote limefungwa na ukuta wa ajabu wa matofali (brick) ambao hauwezi kuvunjwa ๐ณ.
Hawawezi kutoka nje, hakuna mawasiliano, hakuna maji โ wanalazimika kushirikiana na majirani ili kutafuta njia ya kutoroka. ๏ฟฝ
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!