Back in Action ni movie ya action-comedy inayowafuata wanandoa wa zamani waliokuwa ma-agent wa siri (spies) waliostaafu maisha ya ujasusi ili kuishi maisha ya kawaida.
Lakini baada ya utambulisho wao kufichuka, wanalazimika kurudi tena kwenye kazi ya hatari ya ujasusi ili kulinda familia yao na kuzuia mpango mkubwa wa kimataifa.
Kadri wanavyozidi kurudi kwenye โspy life,โ wanakumbana na maadui wa zamani, betrayal, na changamoto za kuishi kama familia huku wakiwa kwenye mission hatari.
DJ Mack
DJ Original
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!