Armor ni movie ya action thriller inayohusu operesheni hatari ya usalama inayohusisha magari ya kubeba fedha (armored trucks).
Story inamfuata mfanyakazi wa usalama ambaye anakutana na jaribio la wizi lililopangwa kwa ustadi mkubwa. Wahalifu wanajaribu kuvamia na kuchukua mali kwa nguvu, lakini mambo yanageuka kuwa vita ya akili na nguvu kati ya walinzi na wezi.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!