All the Devilβs Men ni movie ya action inayofuata maisha ya Colt, askari wa zamani wa kikosi cha special operations (CIA/black ops) ambaye anaitwa tena kurudi kazini kufuatilia tishio la ugaidi huko London.
Anatumwa kumfuatilia muuaji hatari na mhalifu wa vita (war criminal) anayehusishwa na mpango mkubwa wa kigaidi unaoweza kuleta uharibifu mkubwa duniani.
Lakini mission inakuwa ngumu zaidi pale anapogundua kuwa maadui wake si tu magaidi β bali pia kuna usaliti ndani ya serikali na timu yake mwenyewe.
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!