Loading...
Alarum | Dj Mack
Alarum | Dj Mack

Alarum | Dj Mack

4.5
2026
Action
2h 15m
DJ Mack

Alarum ni movie ya spy-action inayomfuata Joe na Lara, wanandoa ambao wote ni ma-agent wa siri (spies) waliotoka kwenye dunia ya ujasusi lakini bado wanavutwa tena kwenye maisha ya hatari.

Wakati siri kubwa ya kimataifa inapoanza kufichuka, wanakuwa walengwa wa mashirika ya kijasusi na wauaji wa kulipwa. Wanalazimika kukimbia na kupigana ili kuokoa maisha yao na kufichua ukweli nyuma ya mpango huo.

Kadri story inavyoendelea, inageuka kuwa mchezo wa usaliti kati ya mashirika ya serikali na wauaji wa kimataifa.

DJ Mack, SwaMedia Cinema

Also You May Like

BALLERINA| Dj Mack DJ Mack

BALLERINA| Dj Mack

2026 4.5
PREDATOR | DJ OMMY DJ Ommy

PREDATOR | DJ OMMY

2026 8.5
The Man from Toronto

The Man from Toronto

2026 4.5
O.C.P Rainfall

O.C.P Rainfall

2026 4.5
Xtreme

Xtreme

2026 4.5
Miss Balla

Miss Balla

2026 4.5
Jolly Roger

Jolly Roger

2026 4.5
Luca

Luca

2026 4.5
MEGAN 2.0

MEGAN 2.0

2026 4.5
Death Worm

Death Worm

2026 4.5
Attraction to Paris

Attraction to Paris

2026 4.5
Gadar 2

Gadar 2

2026 4.5
Set In A Remote Space Station, Ash

Set In A Remote Space Station, Ash

2026 4.5
Java Heat

Java Heat

2026 4.5

Comments (0)

Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?

Ingia (Sign In) Kuweka Maoni

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Home Movies SIZONI 18+ Wakubwa Profile