Accident Man: Hitmanβs Holiday ni muendelezo wa Accident Man unaomfuata Mike Fallon, assassin wa kulipwa ambaye ni mtaalamu wa kufanya mauaji yaonekane kama ajali.
Safari yake inampeleka Malta, ambako anapewa mission ya kulinda mtoto wa boss wa mafia. Lakini mambo yanabadilika haraka anapojikuta akiwindwa na wauaji wengine hatari waliotumwa kumuangamiza.
Kadri story inavyoendelea, Mike analazimika kupigana na killers mbalimbali wenye style tofauti za kupigana huku akijaribu kuokoa maisha ya mtu anayemlinda.
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!