Loading...
Aashiqui 2
Aashiqui 2

Aashiqui 2

4.5
2026
untranslated
2h 15m
Swahili Dub

Aashiqui 2 ni movie ya mapenzi ya kihisia inayomfuata Rahul Jaykar, mwanamuziki maarufu lakini mwenye matatizo ya pombe na maisha ya kuvunjika.
Maisha yake yanabadilika pale anapokutana na Aarohi, msichana mwenye kipaji kikubwa cha kuimba ambaye ana ndoto ya kuwa mwimbaji mkubwa. Rahul anamsaidia Aarohi kufanikiwa na kuwa star, lakini yeye mwenyewe anazidi kuanguka kutokana na addiction yake.
Kadri story inavyoendelea, mapenzi yao yanakuwa na changamoto kubwa kati ya mafanikio, wivu, na matatizo ya maisha ya celebrity. Rahul anajaribu kumlinda Aarohi huku akipambana na mapungufu yake binafsi.
Ni movie ya love story ya kihisia sana, muziki mzuri na drama ya mapenzi yenye maumivu (emotional romance tragedy) ๐Ÿ’”๐ŸŽถ

Swahili Dub, SwaMedia Cinema

Also You May Like

Cannibal Troll

Cannibal Troll

2026 4.5
DON'T BREATH 2

DON'T BREATH 2

2026 4.5
Gulliver  Return

Gulliver Return

2026 4.5
Set In The 18th Century, This Historical Drama

Set In The 18th Century, This Historical Drama

2026 4.5
Operation Laila

Operation Laila

2026 4.5
Rosario Tijeras

Rosario Tijeras

2026 4.5
Battle Of Saipan

Battle Of Saipan

2026 4.5
New Gods: Nezha Rebornni

New Gods: Nezha Rebornni

2026 4.5
Night Books

Night Books

2026 4.5
Great Worrior

Great Worrior

2026 4.5
This Gripping Crime Drama

This Gripping Crime Drama

2026 4.5
Survivor

Survivor

2026 4.5
Narappa

Narappa

2026 4.5
Alive Is A South Korean Survival Thriller That

Alive Is A South Korean Survival Thriller That

2026 4.5

Comments (0)

Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?

Ingia (Sign In) Kuweka Maoni

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Home Movies SIZONI 18+ Wakubwa Profile