A Quiet Place: Day One ni prequel ya franchise ya A Quiet Place inayotuonyesha siku ya kwanza ambapo viumbe wa kutisha wanaovutiwa na sauti (sound-sensitive aliens) wanavamia Dunia.
Mhusika mkuu, Sam, anajikuta mjini New York wakati shambulio linapoanza ghafla, na dunia yote inageuka kuwa sehemu ya hatari kubwa ambapo kufanya kelele kidogo tu kunaweza kusababisha kifo.
Akiwa na watu wachache aliokutana nao njiani, anajaribu kuishi katika jiji lililojaa ghasia, hofu, na ukimya wa lazima
DJ Mack
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!