12 Hours (2022) ni movie ya action ya Kichina inayofanyika kwenye dunia ya kisasa ya teknolojia (cyber/virtual system). Inamfuata mwanajeshi wa zamani ambaye anaingia kwenye mchezo hatari wa survival baada ya kuhusishwa na mfumo wa kifedha na teknolojia uliopinda.
Anajikuta ndani ya virtual world ya ajabu (kama simulation) ambapo watu wanapigana kuishi kwa muda mfupi wa masaa 12. Ndani ya mazingira hayo kuna maadui, monsters, na changamoto za hatari zinazobadilika kila wakati.
Kadri muda unavyoisha, anagundua kuwa si mchezo tuβkuna mtandao mkubwa wa biashara na uovu nyuma ya system hiyo unaodhibiti maisha ya watu
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!